Tulifanya mchango wa TZS milioni 50 ili kukamilisha ujenzi wa kituo cha afya, jambo ambalo limeleta ...
Ili kuimarisha mazingira ya kujifunzia na mikutano ya kijamii, tumetoa msaada wa viti kwa shule, vit...
Tumechangia vifaa na fedha ili kuboresha miundombinu na huduma katika vituo vya polisi na zahanati, ...
Upatikanaji wa maji safi ni haki ya msingi. Tumefanikisha uchimbaji wa visima na usambazaji wa maji ...
Katika Taasisi ya Nyansaho tunaamini kuwa elimu bora huanzia kwa walimu waliowezeshwa....