Maelezo

picha ya kazi ya msaada wa Nyansaho Foundation iitwayo Michango kwa Vituo vya Polisi na Zahanati

Michango kwa Vituo vya Polisi na Zahanati

Tumechangia vifaa na fedha ili kuboresha miundombinu na huduma katika vituo vya polisi na zahanati, tukisaidia kuimarisha usalama wa jamii na upatikanaji wa huduma za afya kwa wote.

Taarifa