Maelezo

picha ya kazi ya msaada wa Nyansaho Foundation iitwayo Misaada ya Eid na Pasaka kwa Nyumba za Watoto Mugumu 2025

Misaada ya Eid na Pasaka kwa Nyumba za Watoto Mugumu 2025

Katika sikukuu za Eid na Pasaka mwaka 2025, tulipeleka furaha katika nyumba za watoto mjini Mugumu kwa kuwapatia chakula, mavazi, na shughuli za furaha – tukieneza upendo na mshikamano wakati wa msimu wa sherehe.

Taarifa