Maelezo

picha ya kazi ya msaada wa Nyansaho Foundation iitwayo Msaada kwa Wazee na Watu Wenye Ulemavu

Msaada kwa Wazee na Watu Wenye Ulemavu

Tunaunga mkono wazee na watu wenye ulemavu kwa kuwapatia misaada maalum kama chakula, vifaa vya usafiri (wheelchair, fimbo n.k.), na mahitaji ya kitabibu – tukihakikisha kuwa hakuna anayebaki nyuma katika maendeleo ya jamii.

Taarifa